Balaa
演唱:Colossal Music、Umoja Sounds、Fredrick MullaVerse1
Naua rappers wenye hamu za
Kushindana nami, mi ni Mfalme
Mademu zao wana hamu za kulala nami
Na lala nao, kalala Jr hadi wadogo zao
Na kama hujanielewa nakuamiminia hamzao Paw paw!
Nakuacha ukitambaa
Si uliutupa muziki baada ya kuona kiki inakufaa sa nini unashangaa
Nimesimama kwenye ukweli si ndio building blocks
Silaha ya ukweli ni sanaa watch me building Glocks
Na unlock vina kwenye building that
longombas walipoteza funguo I'm taking the building back
Tena tena again
Put respek mnapo mention my name
Kuipeleka bongo international ndio aim
Kuitangaza Moro Kila sehemu
Kila sehemu nikitua naucheza Mwingi
Naacha Wana wakibutua ni maboko mingi
Nasepa na kijiji napepea
Naona niggas wanataka fair mi sichezi fair afu I even don't care
Chorus
Hili balaa hili balaa balaa
Verse2
Hili ni balaa views toka mtaani
Do numbers really matters kimpango gani
Mbona wenye number hawafikii hii michezo
Au mnataka Sema wametuzidi kila level
Hapana, sidhani
Acha nikomae na fani yenye ushindani
Kudema sidhani
Mana mi mi kuwa humble usisahau kwamba
Nikigundua we ni famba, nakukatia Kamba afu
Natambaa mbaa mbele kwa mbele
Viherehere, nawapepeta kwenye dimba yuko wapi pele
Nakuna vipele vya hawa tetere
Tetesi ni tele, tetesi ni tete
Zimejaa kila mtaa
who this kid With attitude ya kistar
Mwenye maarifa mengi zaidi yule wa kibaha
Mi ni Tai na mitaa inanidai
Nabii wa huu muziki, Nabii wa Kiswahili ni