Yanga Mango

演唱:Fredrick Mulla、Umoja Sounds
Nilipotoka walidhani sita make it
Kabla kuijua dunia nilianza kuijua Temeke
Mitaa ya Mwembeyanga, famagusta
Wahuni kila kona nimekua nakuishi na wauza kete
So madogo wanaponiletea mapepe
Huwa nawatazama afu nasema hapo kwanza ncheke
Kipindi mwembeyanga haukatizi hovyo mchana
Ukikatiza unakambwa ni mitama na machete
Wanangu wengi waliishia kwenye wizi na madawa
Mazingira yanaweza fanya ukashindwa kuiona heaven
Nikizingua ni mkong’oto nyumbani niliwekwa sawa
Ndo sababu iliyonifanya kidogo nipunguze keke
But im here now, nilianza kuwa hapa before here now
Manifestation is real I see it clear now
Though im here now lakini kiakili niko vietnam
Naizunguka Dunia bila vyeti now
Bila professor Jay mi ningechoka mbaya
Bila mngwea hata ghetto lingekua vibaya
Bila Baba styles nisingekua na maunyama

你可能喜欢