MoroBuzz - Lukobe

演唱:Fredrick Mulla、Umoja Sounds
Spiritual wars, spiritual wars
Naona kuta nyingi za imani za fall
Spiritual wars, viongozi wa dini
Wanatuuzia imani mbele ya tabernacle
Mi natamba na God neno lake ni sword
Nikiwa bongo nyumbani hata nakiwa abroad
Leave me alone please leave alone
Leave me alone nikiwa hapa im home
Shetani ananguvu na sio kama namsifu
Asante Baba kwa kunitoa Kwa bonge ya msitu
Asante pia maana imani yangu sio kamilifu
Sidanganywi na Binadamu wanaojitia utakatifu
Wengi wamenaswa kwenye mtego I swear
Wako alive ila ndani amani imeshapotea
Nikuskize wewe Baba au nimskize Bodea
Au niwaskize manabii na uwongo uliobobea
Kama Dhabi zote ni sawa mmmh this aint fair
Tupunguzie moto fanya iwe Medium rare
Najua Kwako Hakunaga cha mid or rare
Wote ni sawa Mbele yako we need more prayer
Napigana na imani yangu kila siku
Naanguka nasimama bado nakusifu
Dini Kwangu katu katu sio kila kitu
Kila kitu ni wewe kwangu ndo nikila kitu

你可能喜欢